give this man a medal

For his hard work. A mobile fry mayai hawker

[ATTACH=full]32411[/ATTACH]
[ATTACH=full]32412[/ATTACH]

9 Likes

Hapo naona typhoid, amoeba na food poisoning after kula lakini bidii yake ni poa

1 Like

Typhoid kwani mayai fry huekwa soup?!

8 Likes

Things like this ndio hukuonyesha how much you are blessed

1 Like

Ati typhoid na cholera? From fried eggs? Little education is dangerous, really…

And I bet he doesn’t move up and down. He prolly has a base under a tree somewhere…

Good hustle.

6 Likes

u can imagine the danger kubeba iyo gas CBD halafu ikuwe na leak…kabooom

l respect the hustle :slight_smile:

kuna boy alikuwa anabuy empty 250ml chupa za maji

then jamaa anaendea maji kathima …iko kule karura kariibu na rwaka…iyo maji hutoka kwa jiwe watu wa gachie na rwaka wanatambua iyo place…the water has a sweat taste …very clean water…

then boy anapack iyo maji vizuri anauzia watu kwa stalls
buy alibuy a small fridge na iyo hustle…sasa ako na stall yake ya izo mambo za maji na soft drinks akaongeza photocopy sasa juzi naona amefungua mpesa…

manze l salute wazito hu hustle na bidii

20 Likes

:DHAHA HA

there natural haters in this world…

when you add ignorance to that jealous spirit it becomes a dis-ease worse than cancer…

mtu anapata ulcers kwa kukosa kitu/watu cha/wa ku-hate

3 Likes

Hehehe…papaa. Gas ata ile ya 12kgs ikileak in an open environment akuna kitu inaeza fanyika ikishika moto; the only thing itaburn tu na fujo penye inaleak. concentrated gas kwa place enclosed ndio noma

6 Likes

@Deorro nuu villagers wakuwe restricted kupost

umenikumbusha lorry ya petrol ilianguka muchatha route ya 106 tukiwa high school manze wasee waliburn wale wakuchota :frowning: hadi wa leo iyo place hukuwa na izo marks za burning

Hustle i respectiwe

1 Like

True copy dat

2 Likes

@junkie respects hustlers to the core

6 Likes

AAAAAAH Manze hio Friday evening sitawai isahau. Kuna majamaa tulikuwa tunasoma nao Karuri primo, walikuwanga makonda; kina Kangethe, waliungulia hapo akaacha wakidi jo. Wengine kuungua miguu, wengine hadi makei; kina Ngari…unajua huyo msee? Nliacha akiwa na taxi… Noma sana

1 Like

Niaje tikteta wa Instakram. Kesho tunakamua Man chieth ngapi?

1 Like

hakuna kitu tamu kwa mwanaume kama kukula jasho yako (closely followed by new cat). Salute to the niccur.

1 Like

noma jo nakumbuka iyo raiya …over 100people waliumia iyo area ata gari ya maziwa ikianguka hawawezi guza

Amejaribu

Hii Naivasha mtu hawezi labda awe akitembea na jiko it’s too windy

That is a mirrionea in the making.