Gitugi Secondary

@gashwin mwalimu,kwani hizi shule ni ngapi ju naambiwa kuna ingine iko Othaya?Nimeenda Gitugi Girls na Gitugi mixed huku Mathioya nikaambiwa sio huko nafaa kuwa

Gitugi, kinamba, kihingo ni common sana. So ukitoka Kule unatoka use umejua mpaka subcounty ya uendako

I only know of gitugi girls in Mathioya

There is Gatugi girls in Othaya, near Karima Boys.

For us to help you ,kindly clarify your motive on that Girls school.

NB : We might be directing a pedophile

kuna moja pareee kiharu constituency…know your county boss

eheh

Yes, there is Gitugi in Murang’a, Gatugi Girls and Gatugi Mixed are in Othaya. But there is also Gitugi village in Othaya

keeping up with high school directions,…nataka kwenda Starehe Girls via public means from Nairofi,…stage ni gani!

Chukua gari #100,120,122 za Kiambu road either pale Tuskys commercial or St Peters Catholic Church Kaka karibu OTC , shuka KIST , cross road then take bodaboda to Starehe ngeos.

Nimeipata wadau.Though nimezunguka Gatugi girls,Gatugi sec,Gitugi girls na Gitugi sec za mathioya hadi nikaenda Gitugi sec Othaya.Nilikuwa naenda kutahini kijana wa teaching practice

[quote=“biraru, post:6, topic:159581”]

kuna moja pareee kiharu constituency…know your county boss
[/QUOTE Boss tulia,am from Nyandarua and Laikipia Counties.Murang’a place ya Landslides apana tambua[/QUOTE]

keyword is “kuna moja”…kama huezi elewa hio i wonder how ulienda kutahini huo TP:D:D:D