@4makind hebu njoo teketeke na mbisha
MMNN tumeskia kunariots huko.
update us what is not happening
1 Like
Haikosi ni juu ya hiyo road to Kiriri. Madam MP alicheza watu na hiyo road.
Forrowing closely
Niko mbali sana na Githurai… let me see if I can get information from people on the ground
Huko hatuna votes:cool:
Huko ni mtaani kabisa. Updates zikuje ASAP.