Githurai 44

Niko hii mtaa saa hizi nakwambia madem na wamama wako wengi sana. Hadi wengine wamevaa reflector za tuko worx.

So kwa street nikanotice mathe mrembo anakuja probably ako early 30s.

Mimi i can tell a hoe from her aura na huyu alikuwa ananipea vibes za hoe.

Nikamuuliza ni saa ngapi off which alinijibu vizuri.

Next question nikamuuliza ni ngapi akaniuliza nini hio. Nikajua hapa nimeblunder vibaya sana.

Ikabidiii nimetembea haraka haraka

6 Likes

smh-shake-head

8 Likes

Kermit The Frog No GIF by Muppet Wiki

2 Likes

Ungespecify. Amateur

Natafuta zimmerman base road bado wantegea hizo area

2 Likes

Side effect ya kukula maliar excess ni kukosa mistari. Sasa ile umebaki nayo pekee “ni ngapi”. Shame on you. Tafuta msichana uoe. Ukishindwa hata heri utafute mama akuoe utoke kwa umaliar.

5 Likes

Target ya huu mwaka ni 250k usisahau…

Thats All Folks No GIF by Lil Yachty

1 Like

Huyu kijana amejikakamua, ni kama kuna trophy watu watapewa December 31st.

1 Like

Anapiga hesabu za lanyes nonstop