Kuna siku nimepika githeri.Nikakaranga1/2 and the other half nikaseti bakuli. Baada ya kufry nikaiseti Kwa bakuli Tu ka ile ingine.
nikaziweka close to one another.kurudi kutoka kutafuta teargas nikachua bakuli moja Hadi Kwa couch.Booom nikalaza matako.kijiko Kwa… kwa Kwa kwaa mdomo Krrr…krrrr… krrrr…Mbulululuuu Hadi Kwa kitambi.
Nilijipata nimemaliza hio githeri only to realise nimekula Ile yenye haijakarangwa.
SV mzima na hii umeffi?
Utasaidikaje?
What is wrong with this anyway? We used to eat unfriend githeri tukiwa wadogo kila siku. Even nowadays I like to eat it hot from the pot in my kitchen Ile siku Bibi anapika.
Hata mimi nashangaa…
Western unakuanga escort ya chai. Ama snack