GILBEYS CHICK IS ALIVE AND WELL

[ATTACH=full]369607[/ATTACH]

I saw that video nakaumwa na tumbo. Hata shot glass siwezi piga flash na yeye Alikuwa anameza Chupa nzima. I’m happy she is alive but my advice to her is hao si marafiki. She needs to walk away kabla mmoja wao akufe wakifanya hizo stunt