[SIZE=5]@MikeOck vile nilikuwa nakuambia hizi ghetto pale @Aka mpole anaishi si mbaya vile uliiweka, sahii some parts of Kile, Parki, Lavington na Kilimani zinaenda kufanana na hizi ghetto neighbourhoods za Minnesota. Unaona parking ikona Yukon na Cadillac SUVs, tuBenz hapa pale, supermarket inafanana Nakumatt Junction, drive through Chemists (hata suburbs zetu hazina hii). Insecurity na hood shit haziwezi kosa but hata hizo suburb zetu nimetaja kuna carjackings, robberies kwanza kuna jamaa za nduthi ziliibia slayqueen alikuwa anavlog Kilimani iPhone 13 Pro Max, a few murders and foreign crime za wanaija hapa pale.[/SIZE]
Naishi next door place inaitwa Illinois. In the famous city of Chicago. Minnesota is a beautiful place. I have been there severally. Cheki vile shagz ya huko vile inakaa