hapa Kuwait naweza skia aje Ghetto radio? ni App gani poa?
1 Like
tunein
kuja tu hapa kenya uskiiiize halafu urudi kuwait
6 Likes
io tunein ni saree?
zii msee wacha tusake
Hey is this what in thinking? Jutambulishe,
Utaweka tu station ya Ghetto radio alafu ufungue maskio…by doing that utakuwa umeskia ghetto radio
1 Like
hamuwesi saidia mjamaa na vile amekuja na upole
2 Likes
No huyu sio NV. huyu ni star elder , then an SV , he has 9 lives so mwache pole pole
1 Like
Pitia Kenyamoja.com
Just open their website… the streaming is automatic you don’t have to click a thing
https://www.ghettoradio.co.ke/
Ulitoka berlin lini?
Niaje @Mustafi
[ATTACH=full]88303[/ATTACH]
Tafuta Ghetto Radio Kenya kwa playstore.