Ubaya ya kuanza tei mapema. It’s just 4pm na jangili ishakula K.O.
[ATTACH=full]238251[/ATTACH]
Enyewe walamiste huwa weak manze.
Lmfaooooo.
Panyaste kuna mahali unatuangusha
Mseh una expect nimchunishe sukuma nn? Am not like that mayne…am straight
Jaruo inakupiga maslaps kijinga jinga bila reply
hangepata simu na njumu hapa kenya
Ona hiyo train/u-bahn mko wawili kwa coach. Wacha watu wa ocha wakapambane kwa ile train ya Kibera jioni.
Amemumunya mali yake bila kukuomba. Shida tu ni mahali hiyo camera umefocus betrays you.
Cheza kama wewe…
Muibie simu
ATI walami ni weak fombe enda Russia uone mjamaa anameza ile vodka mzinga ya 60% alcohol solo na atulie akule sembe
Najua unangoja watu wapungue then umchunishe Sukuma
Omwami uko area gani. Tupatane tushauriane umeze konyagi.
chunisha mlamiste sukuma porepore
Huyu ndiye Ivonne?