Germany vs france uzi

well oiled German machine, or French fries…

Been a German fan through and through. Ni vile tu sina pesa otherwise I would be driving a German machine & not my Toyota premio.

Leo tunaweka France minimum 3 goals. Müller hattrick

4 Likes

The well oiled machine will Fry the French Fries

2 Likes

[ATTACH=full]47366[/ATTACH]

1 Like

Nime sign in. Germany 2 France 1

1 Like

france itashinda 2-1

Les Blues African Union Kamua mtu

1 Like

France 3 Germany 2

France watashinda. …

Siku hizi naona Muller kazi ni mdomo mingi tu kwa marefa… He better prove himself leo. Lakini AU iko sawa kwa hii mechi

France ,but they are dead shaky

mtu anachezewa half field…

1 Like

Nimefika…mzito amefika

Watu wanafunzwa ball msee, kapeti msee… Pogba, Payet, Matuidi wako wapi msee? Kroos ni mzito, nimekubali

1 Like

@Jirani (die manshaft) 3- @uwesmake (le bleu) 0
Jirani leo usiwache slices.

1 Like

Wasee wako home lakini wanachezewa nkama wako away…napenda sana

Hehehe…

kubebwa nayo

Penalty jamaa…unfair

Kwani kunaenda aje? @Jirani