A/c za makamuni ya kubetisha leo zimejaa, hamna mtu wanamlipa leo. kama kuna mtu kala leo basi atakuwa mchawi huyo. Eti kuna mtu kala mkeka humu wadau
kuna watu wanamekula[ATTACH=full]176960[/ATTACH]
Yaa nilimpa Brazili ashinde kipindi cha kwanza
Hili kumbe la Dunia tulikotegemea litaenda linaweza lisiende
Duh very lucky man
Muhindi anachezesha makofi tu mzee
Kamari