LIBERIA: Rais #GeorgeWeah amempigia simu mpinzani wake katika kinyang’anyiro cha Urais, #JosephBoakai kumpongeza kwa ushindi wake. Akihutubia Taifa amesema “Watu wa #Liberia wameongea na tumesikia sauti yao.”
Boakai anaongoza kwa kura 28,000 huku takriban kura zote zikiwa zimehesabiwa. Hapo awali Tume ya Uchaguzi ilitangaza kuwa Boakai, mwenye umri wa Miaka 78 alikuwa na Asilimia 50.89 ya kura zote, huku Rais Weah akiwa na 49.11%
Weah, Nyota wa zamani wa Soka, amekuwa madarakani tangu Mwaka 2018, atakabidhi madaraka Januari 2024
Soma Liberia: George Weah ampongeza Mpinzani wake kwa Ushindi wa Kiti cha Urais | JamiiForums
#JamiiForums #Governance #Demokrasia #Democracy #LiberiaElections