Kuna watu walitolewa nyama kwa mdomo, mnofu worth 3 billion.
na kusecure io judgement ya 3 billion ilikuwa imewacost hela, mingi.
Itabidi ao mawakili wamfurushe martha koome, ama wawekwe kijiti kwa matako na client wao.
na mjue kijiti kwa matako huwa painful.
ile option wako nayo ni kumfurusha martha koome.