generel meakins

hii kitu ukikunywa uko na dakika tano ufike mahali ulikuwa unaenda, ukisleki utajipata kwa mtaro.

Hizi ni zile vitu jagili @johntez addi gaza msafi hupenda

Na ukikunywa na ukute vitu, kanasonga kusonga:D:D

Nlikua naipenda kitambo but sahii even the mention of the name gives me creeps. A guy I knew turned blind after consuming a bottle of methanol laced meakins

Usikunywe karibu na pharmacy atajipata Nairobi women’s

What? It’s that adulterated

Si meakins pekee, pombe yoyote counterfeit can be deadly depending on the ingredients. Kuna moja nliona juzi with some funny name a full 250ml inauzwa 100 bob na hii economy. Inauzwa hadi 1/4 of it at 25 bob na zinaenda kuenda

Best Vodka it is iko na label ya blue… fombe inanukisha mdomo kaa sheit

General Meakins Extra Strong 50% ni moto niliwahi lala kwa corridor juu ya hii shit.

Teetotalers here.

Design sprite ingine ilinifanyia sitawai sahau.

what do you expect from a drink 2020 750 ml ilikuwa inauzwa 300 bob na alc percentage ni 50%

@sludgist huangusha Generali 750 ML solo

[ATTACH=full]476506[/ATTACH]

Chokora nunua glass

Walai. But good memories with that drink. Was my go to. Cheap and 50% and smooth bila chaser. Tasted like a fake captain Morgan and the scent could be easily masked too

Mungich ghaseer fukara. Sasa ume amua utakuwa ukitumia hio plastic uliwekewa madodo hapo Mulley supermarket ndio sahani.
Punguza ulevi ununue sahani banae.