Charlatans snake oil vendors.
Utapata @Ngimanene-Na-matharo with all his education, Antivax and woke status will still be in this kind of church entanglement and he can’t help himself.
Kweli Wakenya hawawezi saidika. This man kept them there hungry, so they can buy from him mandazi na mkate. Well, akili ni zao, pia tumbo ni zao.
You can sense the resentment in hi hyena like laugh
Wacha matusi wewe. General ni mtu ako na bidii sana na yeye huearn pesa yake kwa jasho yake.
io entertainment anapea watu na 200 bob, kwa Churchill Show bila 1000 huezi ingia, na huko kwa Churchill hakuna jokes za maana.
Watu wa miaka 70 kwenda juu, wengi wao ni liability kwa serikali na family zao, lakini nganga ako kesha saa nane usiku akijitafutia
I thonk people go there for the entertainment
What entertainment? Hizo ni upuzi tu
There is a willing audience for that kind of show, the ones who go there
Am sure the devil comes to Kenya for new ideas and comedy.