@Gaza ameamua kutembea na simu ya judge kwa kesi yake

https://x.com/i/status/1907106610008215988

3 Likes

Huyu ataongezewa 1 year juu ya ufala

Hii kijana atakufia hapa ndani… kweli mzee anaona mbere.

Sasa hio ni news pale Citizen TV

1 Like

“wakisii sio watu wa kawaida”

3 Likes

Hakuchukua, alirokota :rofl: