Kesho walimu wanarudi job bila salo ya September. In other words msee akope bibi fare ikiwa atatumia ma 3. Aombe Kiwi Na akule mfuko wake. Enyewe gava haiwes blink first.
Na venye akina Sossion hu benefit Na mgomo such that hununua ma gorofa after every strike naskia raundi hii walikuwa wanangojea phone calls za kuwa sweet talk,lakini wapi. Paybill amount ya Raila naskia hata haijfikiasha pesa ya 50 by 100 huko Il bissil.
pengine tu interior ya Ng’atataek!
wah uku ni wapi majamaa…ama uku ni kule ukinunua mbloti unapewa moja bure??
kuna hii mwalimu rafiki yangu imenikopa siku kadhaa ikinipa ahadi ati bado kamushara’ kanakwom, nangoja ifike kaa friday nitishie mtu anaenda home shoeless
Kajiado-Namanga highway. Nilipeagwa maziwa straight outta cow’s udder. Hakunaga Ku boil. Ingine imewekwa mavi fresh ya ng’ombe Na makaa. Tamu Sana. Napenda sana
hiyo ya kinyeshi sijawahi sikia …Ndawuo atokelezee afafanue hii maneno…@boi kamiti hata kutoa ticha kiatu ni bure juu anakanyaga na rim tayari…
:eek:io maziwa ni white,green ama black?
Whitish blackish. Kwani mursik huwa mnasema Ni nini?
mursik najua makaa…mavi fresh ya ngombe ndio haileti shangwe…but i kenya macultures ni tofauti…i was shocked the other daykujua ati ngamia pia hukuliwa
have you been living in Antarctica?
si watu wengi wanajua:D:D
Umejitetea sana yenyewe, @gashwin msamehee
![]()
I went to Wajir. While there kukanyesha. Melon kwa wingi Na maziwa ya ngamia. I came to stop drinking it when I heard,without arimis, walalos milking camels spit mucus n thick saliva on their hands for effective lubrication of camel’s titties…something like…aaarrrggggg aaaaahhhhh ptooooooo to the palms Na kukamua.
na si una mambo leo…
If it didn’t kill you, it made you stronger ama?
Sio kinyesi. Ni mkojo. Uki milk, ngombe akojoe, unachotelea kidogo. Gives the milk a twist in taste. Napenda sana.
There is Esukuta Engobali also
:D:D:D:D
damn! nimegoogle io place inakaa remote
Bjur leo kweli una maneni