Gaucho is a conman

Huyo jamaa amenicon bana. I wanted to pitch a business idea to Rao. Last week on Thursday we meet I explain everything to him and he makes a call na baba akashika simu Hadi nikaskia sauti vizuri ni yeye. They talk kidogo and baba inform him akam Monday na Mimi Capitol Hill mapema kabla ya maandamano askie what I have to say.

Jana natafta gaucho kumbe ameshikwa.naenda kwa station we talk and he request niwatoe na kina nuru okanga alafu twende straight capital Hill, jamaa is very convincing. So leo after korti imewaachilia nikalipa hiyo 3k sahi hashiki simu. Nikimkol anakata alafu mara ya mwisho ameniblock. Hiyo last week nilimpea 13k cash na nikamtumia 7k kwa simu ati ni facilitation fee ya kumeet baba

Wewe ndio dwanzi :D:D:D:D

@ChifuMbitika kuja kidogo

Nipe idea ni invest… nitakupa za macho ikifaulu.

Tafuta mtu anajua Ruto au Riggy G kama unataka shida zikitoke. Baba hatakuokolea

jinga hii

1 Like

:D:D:D:D:D

Unabahati haku itisha mkia kabla usalimie baba

@Jura is a troll. Si kuna siku alisema ati @ChifuMbitika who is also @Jura alimcon. Sasa yeye inaconniwa na kila mitu yawa

these people are not hard to find. box cutter kata tendon na uite mbogi wampipinye

Pitia hapo Jeevanjee ama Jacaranda Grounds utawapata hapo na kina Omosh One Hour.

:D:D:D:D:D:D

Jaba ipunguzwe

welcome to kanairo mdau

Nuru Okanga ni cousin yq @uwesmake