Gathoni Gathoni Gathonii

Naskiza hii kwa jam na inakaa kutanyesha.

https://www.youtube.com/watch?v=OVqrhgGflAQ

[ATTACH=full]92908[/ATTACH]
Imebidi pia ni overlap, yaitwa kata funua huku

Kwanini unaendesha gari left hand mjamaa?

Hehe. Some light rains hapa by the beach. Nice music by my village mate

Ni mdosi anaspin, refer to usiku sacco pale nilisema nimekwama kichakani

Its raining huku Across The Creek

Haiya!!! The original singer ama huyu the late,bwana Bikini Inspector?

Story za kuacha fegi umefikisha wafi?
Am rooting for you to succeed.

Going on strong and liking it

Original Wainaina

MM ni makanga wa trailer aka turnboy

Ok. Then we neibas cowty wise. Huyu the late ndio wa home. Wainaina used to sing nice songs and later gospel…tutiruaga Na mwiri Na thakame,Messiah niatonyire thiini wiitu. Agiaka mwako mweru wa kiroho riu turuaga na roho… Great great tunes and messages

Naaliendaga wapi huyu Wainaina wa kiandege

Old skool kweli

Kwa sinda maana?

That’s my other home, my birth place.

Maana to

Anakuanga tu. Anaendelea kutoa nyimbo. Kijana yake pia ameingia hiyo line. Anaimbanga na pia ameniundia gari pale kwetu kirinyaga rd sana. Anajiita kiandege jnr.

@Meria Mata kuna ile wimbo usema “kwî hîndî ûkanjîra nîûranyeda ngûthitage”… that’s the only part I remember. Unajua nani kusha imba hio?

Utafanya @Meria Mata acatch kama @jimmy_m aishie. Mtu ni cheo.