Gathecah UHURU

If the mtoto wa umbwa finished
Kuria…
Not good

Why do you care when Mafioso conflict?

But me think Kuria pia ana mdomo sana na sio vile ako saint.
I wouldn’t catch a bullet for him.
Northland na Sewage iko Kariobangi zinaingiana aje.

why not smoke…kalonzo/raila/
Ama Ruto

leta mwili tuxike

What would Uhuru benefit with, by finishing Kuria ? The only people who can finish him, are entities keen on pushing a wedge between Uhuru and the people.
I strongly believe, Kuria disappearance is a well stage managed move , to castigate Uhuru in bad light.

mbona ubomolee mtu nyumba na umefunga borders za nairobi hawezi rudi kwake ocha? ubataka aende wapi? kuna relationship kubwa ya Northland na Kariobangi. Ile place ingine itabomolema itakusaidia kuconnect dots, na utaona zote zinaingiana.

Kuria aliongea mingi saana. In this world don’t just open your mouth, it will land you into troubles

Kuria should stop the childish play…he will be hit when he least expect if that is what he is yearning for

Wakiuana hio si shida yetu. Am sure Kuria is somewhere enjoying himuselfu.

Kuria is a nobody in the grand scheme of things. He will eventually appear and immediately summon the press and present his sciencefiction story.

Iyo ghassia iliwekewa mchele na lanye hapo 680 hotel bado inuguza maumivu kwa private location…

jamaa …mbona unaNitafuta??
make good decisions …

Sitetei Uhuru but Kuria should have stuck to the issue at hand.Kusema nyumba zimebomolewa ndio Northlands ipate sewage that was very low for him.Ata kama ni mimi anikuje hivyo nafinya makende vilivyo.
Stick to the issue at hand sio ku attack from the offside

Ni supplier wa kidukulu na anaona wewe ni a prospective client.Sio mbaya ,muelewe

Siasa mbaya

Si ni ukweli nakushow me sikutafuti buda?
You should look at his situation on unbiased perspective ujiulize kwamba mimi kama @Sokwe mtu, nikakua kwa io situation, will Moses kuria be concerned about my disappearance? Certainly NOT!!

[MEDIA=twitter]1259435595119681536[/MEDIA]

sawa mdau