Gaschamber

Villagers , huyu mtu anaitwa @gaschamber mbona huwa hamucomment wa thread yake yaani for ten years jamaa amekuwa akiweka threads but munamulenga tuu kwani alikula ibi yenyu ama ? ni kama ile ngombe ya poems za umama sijui ilienda wapi

[ATTACH=full]85581[/ATTACH]

5 Likes

uncle leo umeamua aje ukakula mpufa!!!

hio ngombe ya kwanza iko na mastitis?

njaa ni mbaya juzi niliona shepart yangu inakula skuma nikai inua teke ya matako .

10 Likes

Niaje @Ngombe ya Wenger

1 Like

ankol chukua hiyo

[ATTACH=full]85586[/ATTACH]

1 Like

niaje @uncle nyap

Unasumbuaa

1 Like

Do you mean macromastia sir?

2 Likes

If it means udder imejaa excess

hehehe, saloon manenos hapa @uwesmake luvs this!

[ATTACH=full]85589[/ATTACH]

5 Likes

hapa nilikuwa napitiapitia…pole pole bila kuangusha vikombe.

ndio hiyo sasa. hiyo ulikuwa umesema huwezi jua kwa kuangalia tu unless imefanya titi lioze mpaka nje…

Wah, it has come to this?

rudi uko ulete comments…

1 Like

@culture ebu saidia hapo.

1 Like

hahahhahahhahahahahhahahahahahah

Most likely a troll.

1 Like

wanasema fb acc was hacked

haha shait!! Ango wacha shepart ibadilishe diet…too much protein si msuri…shepart imechoka na nyama

1 Like