Na by the way niliona mat imebeba mtungi ya gas na sikushikanisha…
Are you thinking what am thinking?
Wacha niulizie possibility ya kutumika, juu mat ina kunywa 8500-9000 daily kuleta 5K labda mtungi itatumia ile ya 2800 ama less kuchapa kazi ya siku…
Nikiendelea na hii monologue yangu, how is it applicable na gari ni ya diesel? Wondering.
Na Ruto akijua gas ni cheaper kwanza LP gas ina cost ksh 100 per liter na petrol ama diesel inachezea 200 kendelea, na investors wanakimbilia huko, si ataongezea tax? Ruto mazeeh!! Nini msee?
Hio bei ya LPG nayo siko sure but inankalia interesting sana. Nichanue na information. Hauoni hapo hio ni monologue, naongea kimoyo moyo Kumbe unaskiliza