Guys kuna 750k mahali nadai gari recommendations zikam
Classmate anauza vitz
Vitz​:sweat_smile: ni mdem ama
1 Like
Watu wamekua wakichekea watu apa vile wanaume wanatumia tugari type ya katululu but the whole point is ability to move from point A to B seamlessly
2 Likes
Niko na Prado third hand at 400k
BOY wetu alibuy Ile Subaru kubwa, 700, na Bro alibuy Subaru Impreza mpya local 1000.
Enda utafute repossessed cars, utapata kitu kama Premio KCH for 400 - 500
1 Like
“I respect a man with cattle or poultry worth Kshs 750K than a man/woman with a car of the same value” - Nyundo wa Komeo
1 Like