Gani ndio gani?

Nadai kujipa ka present kabla Dec izime…
Gani Kali?

[ATTACH=full]274095[/ATTACH]
[ATTACH=full]274096[/ATTACH]

And

[ATTACH=full]274097[/ATTACH]

[ATTACH=full]274098[/ATTACH]

Hiyo terex iko fomuu.Una buy online ama?

Unataka kuimpress kunguru?

[ATTACH=full]274099[/ATTACH]

Kabla ununue hiyo walk to any city walk shop but i recommend ya village Market.Tafuta kiatu inaitwa Merrel,pia kuna CAT poa of the same price range

Team hiking…

Boss uko na pesa,do you need such an expensive shoe for hiking.Enda kwa Chris tembo wear and get ex uk hiking shoes.Niko na moja nilitoa hapo 2015.

Those from City walk can used as sneakers

18 sausands for a shoe?
Hio ni deposit ya mburoti pale kamulu.

Saa zingine ni poa kujirudishia shukrani kabla mama afagie zote

the addidas snickers with blue sole. unless unataka kupanguza panguza the one with white sole

Case closed here, Merrel wins and salute
[ATTACH=full]274104[/ATTACH]

[ATTACH=full]274105[/ATTACH]

Hii Merrel nilianua $80.00.

Merrel is the best

Kuna ingine ya 14k noma zaidi

You’ll never go wrong with Merrel,itaishi hadi uboeke

[ATTACH=full]274113[/ATTACH]

Mjamaa wa turedio kunakuwanga universal remote ya home theater?
Kama iko ni kama ngapi? Na inatumika kwa brand any ama kila brand kivyake?
Yangu ni Sharp

Uko state gani?

This jumia shoes are fake. Bought a SC shoe for 10k but regretted.

Waaa 10k kiatu? I don’t know but it doesn’t make sense to me…