gaming PC where to buy

[ATTACH=full]93656[/ATTACH]
Niliona photo @vercetti19 aliweka ya PC yake.
Where can i get a gaming PC on the cheap

Unfortunately, ukiambia vendor unataka gaming PC ataongeza price akuuzie hewa. Sema specs zile unataka.

gamers hununua parts wanajiundia

Nunua PS or XBOX, am assuming uko na PC

buying parts is way cheaper, you can customize as you wish

Sth i can play modern games 1280x720 no lag

Nimeona bei ya i5 4570 (processor pekee) nikasikia kulia kwa choo

niko na 200+ games za PC kwa harddisk. PS na xbox sipendi juu ya cost ya games

Nunua Any i3 should cost around 20k alafu upgrade ram na graphics card kuwa na kitu 35k

Check here https://m.facebook.com/XGAMERtechnologies

Go with AMD ryzen seems cheaper than intel

The new ryzen is half the price ya i7 latest.

But bado ni too expensive (50k)

i3 processor pekee ama a whole desktop?

haha hiyo ni processor pekee

Cost of games???
aje
you seem to be a newbie pc is for the hardcore gamer ka wataka average gaming nununa tu ps4 au Xbox one pc ina stress zake

venye mi hujuanga, PC huundwanga pole pole, as in unanunua parts, otherwise endea PS, ps4, usicomplain kuhusu costs ya game, torrents iko, utadownload na orange unlimited

Niko na 700 GB + ya PC games which i got for free
200 xbox & PS games si ingekuwa expensive sana

PC gaming is not for peasants. Tosheka na console kama sisi. You can even get creative and come up with something like this

[ATTACH=full]94685[/ATTACH]

ps games jifunze kuburn

Come to think of it, hajaongelelea motherboard.
Ni kama anamaanisha kununua used PC alafu unaeka graphics card.
Hio route inakuwanga aje?

Ps3 najua but ni kama ps4 hawajacrack bado

35 k ndio mtu mzima acheze games ? Hio ni ngombe mzima inatoa 10 litres a day