for the arsenal fans in the village @jirani,@ uwesmake, @Okiya na wengineo Leo tunakamua watu kamu kamu hata kama in away Leo Mr bean lazima achape watu.
Chelsea fans tuonane halftime.
for the arsenal fans in the village @jirani,@ uwesmake, @Okiya na wengineo Leo tunakamua watu kamu kamu hata kama in away Leo Mr bean lazima achape watu.
Chelsea fans tuonane halftime.
tuonane fulltime…kwanza red card 1st half ndio zenu…
Roho juu.
[ATTACH=full]32445[/ATTACH]
@gashwin follow the rules. half time
wacha u-tikteta…
Am slowly being sucked up into this new sophisticated madness.
Weka mbisha kando leta ya fans want arsenal waki celebrate
Not betting on this game though nimeweka 2k kwa hotspurs
Hotspurs Chieth. But naona wakitoboa. Swansea wako down…
Too hard to predict though United injuries ni mob.
What the FUACK!!! Arsenal ikichapwa hii game siongei mambo ya Arsenal this season again. I can’t believe venye tunakimbishwa Na kufungwa ovyo ovyo Na Man chieth team B
Nimewekelea bet ya 10k sisemi kwa team gani ndio ikichapwa nijitulize na grants
very wise decision. Hii Arsenal itatupea HBP plus cardiac arrest yawa
@Penologist sisemi kitu…it will be unfair…
Budget yangu ya tei imejipa kaka
Sikuwa nimeona hii thread ya wazee. Haidhuru, ishakuwa! Arsenals season typically unravels around this time of the year. Said it from the start of current season.