So who will be your captain for game week 2?
Your formation ?
Who did you axe from game week one and who did you add?
[ATTACH=full]53647[/ATTACH]
imebidi nitoe six players akina Kante na Shaqiri
Six players? Ukatupa points ngapi?
Nani ameweka Costa hapo
Kante tena, si mliambiwa msiweke defensive midfielders
wildcard imetumika mzito
:D:Diko nini?
Sioni rondon akifanya kitu this week
Capi ni ibra… Imebidi nimetoa aguero… Ni fund transfer za hazard na coutinho…
pia mimi kina hazard nlibuy but captain ni aguero
Stoke city itaumiza mtu. Draw most likely
Ibra ananipa points leo:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
wildcard na ni GW2? jeez too early