Kuna boyz agemate yangu alichorwa jobo ya 30k na that nigga ni genius. But aliingia kwa maneno ya aviator akaanza kugamble na salary.
Kiasi ako na madeni na ni mtu analipwa. Dem yake akaenda Qatar kama unskilled labourer so alijengwa dooh kiasi.
But gamling ikaendelea one time naambiwa alishika 200k akapata kiburi akaanza kuona hio kazi hailipii.
But mnajua tu pesa ya gambling si ya kukaa mshenzi alichukua pesa ya kampuni akawekelea bet ikakunywa maji.
Wakamuita disciplinary but makarao walikuwa wanamngojea aende Inda prison kidogo. Jamaa alikuwa mwerevu hakuenda saa hii tumechanga dooh tumempeleka stage apande Kukena Sacco aende ocha.