The weekend is here again. Where are you placing your bets? The first game of the day today is in the Australian league. I am thinking both teams to score. Mnaonaje?
cc: @G-STAR NYONGESA @m245@123tokambio@highschooler@officiale@Thitima@Mzee mzima
Kitu nimeona na betting inataka patience… Monday ikifika unapitia games zote za the whole week… Weka bet mbili na kila bet ina game kama kumi hivi…
Kwa izo bet mbili make sure unaeka at most three games zenye zina high odds kwa leagues unajua poa e.g Epl… Bet slip ikae ivi for example;
1.15, 1.2, 1.45, 1.13, 1.38, 1.8, 1.7, 1.41, 1.85, 1.32… Izi ni games za the whole week, unapata game moja game iko Monday, ingine Thursday etc… Eka bet mbili kama izi of different games… Say a k each bet izo ni odds = 32 plus bonuses… Unaeza kula 40k kwa bet moja ikiivana… Next Monday naanza ivi