Gamblers

ii game ya asian cup aje?

kichwa ya sipg ama over kuna pesa ya konyagi jioni

@hakimoto
@Touchlyrics
@LongTime
na wengineo nimesahau handles

shenhua jana iliSort kc za jioni

Kinyocho sana. Kuja nikushikie Kithethe upeleke mkia kwingine

Muhindi anukishe kitunguu

:smiley: mischieth nimetoka job ya asubuhi ata saa ii nimekwama kwa wines & spirit …nichomoke nikalale kiasi bana

haina wasi fala wa chrome na jaba:D

wacha niweke ii multibet kabla nihamie kwa karauri
Mhindy jana internationals aliNyamba wacha apanguze machoss

[ATTACH=full]335004[/ATTACH]

Me sionekani mpaka saturday. Acha hizo pesa nikunywe KC na amani

Forrester nakuelewa budah job za DJ hamna mzae…weka io multiBet mia usiogope

@Touchlyrics uwekelee slips zako za weekend kwa thread moja tukaribishe karauri na umbwa jayden tuwanoneshe wakufe…

Nitaziangalia kesho jioni.

Izi odds ziko sawa?

odds ni real time …zilikuwa ivo by that time

iko ndani ii

bet iko ndani Dj

@hakimoto leta slip2 ya jioni… ii tulinyonya na straw
kesho ni friday