Gamblers today Champions league

Chambueni mlete odds hapa tuwekelee tupate fobe ya Mashujaa day

@hakimoto @Condor @friday pia ng’ombe wanaruona na wadau wengineo pitieni hapa na slips

[ATTACH=full]392652[/ATTACH]

ii inakaa ndani

Looks nice…madrid ndio anakaa swara

Hii ilikuwa ndani

This was spot on, heko. I don’t bet though, it’s a fools investment

Alafu halipi ushuru