Gamblers kona

Leteni team moja moja sure wawekezaji

pochi is back

Asande sana

Yako iko?

Arsenal kuwazaragaza Aston villa

In gambling hakuna sure outcome. Lastly don’t follow bets from other people, use your own instincts

Odds za Rustler’s kuchapa KDF kaa burukenge ni gani wadau wa betting. Mnatumia statistics gani ama ni ku bet kienyeji … Ikue ikue.

Rustlers 2.55 kdf 1.51 draw 1.98

@Gaza uko online badala ukuwe Kwa ground ukituletea latest.

Tunataka kuona hiyo movie live.

I don’t kiss and tell.

Gaza 1.2 kdf 4.5