Gakuyo still behind bars

Gakuyo wa Ekeza na Gakuyo cannot raise 10mirrions, hata Onyi hawes gusa mali mzee hivi. Ama hii ni kilio cha aliyotapeli? Na mapasta wengine hawacome through for their own? Hakuna kusimama pamoja kama mapasta in solidarity na Gakuyo

1 Like

Let him spread the gospel behind iron bars…

5 Likes

Wuehh kwani the guy never thought he would one day need bail + lawyer monkey and that money had to be hidden somewhere and not in his bank accounts? Wacha akule cabbage ya sirkal

1 Like

heheh ilianza mchezmchezo tuu kwa airport sahii anakula cabbage na ugali moto. wizi ni mbaya. umeskia @sokwemtu? endelea na wizi tuu hapo Naro Moru

2 Likes

Onyi labda atumie hio kitambi kama pillow. umbwaaaaH he should rot In hell.

This guy was already caught trying to leave the country, why does he have bail in the first place?

2 Likes

Akicheza atakufia remand kama former Town Clerk John Gakuo.

Gakuo went in Healthy akatoka mahututi on a one way ticket to ICU then mortuary.

Atamea akili fala yeye.

3 Likes

Na wale wa Urithi kulienda aje?

Ameshindwa kuraise 10m. Na Ako na keja runda worth 200m. Meffi yeye

Hio ndio challenge ya kukua na assets hueezi liquidate haraka.Thats why matapeli wengi own and move around with toyota landcruiser vx.Ukishikwa na unahitaji cash bail unaiweka soko asubui na afternoon uko na cash

2 Likes

He defrauded so many people.

1 Like

He may have used the title deed to get a loan.

One was Gakuo. The other was Gakuyo. Same whattsup group

1 Like

Many fraudster story yao hai ishangi poa especially after they start being arrested and having court cases.There is one who had defrauded very many people area ya kamakis.He used to be arrested then kidogo kidogo he is out on cash bail.One day he was in kamakis area akaenda kukula nyamchom ma afternoon hours.Alikua amesimama kando ya mse anachoma mbuzi anaonjeshwa ma pieces kabla akatiwe.One of his victims saw him and picked a quarrel.He kept saying the issue is in court and every complainant will be paid their money.As the quarrel got hotter the victim alichukua knife ya butcher ya kukata nyama and shoved it deep into his chest.Wase kama bado wana try kuelewa whatbis going on,jamaa ashaingia ndani ya club nikama anaenda sides za toilet and dissappeared via the rear exit.The fraudster died on the way to hospital.The guy who knifed him dissappeared and i doubt if he was ever caught coz sijawai skia dci ikiongea hio maneno na oia naendanga maeneo ya kamakis sana watu wanasema huyo jamaa hajawaionekana

Hata ule wa lesedi anafaa kumalizwa

1 Like

Kweli kabsaa.what he does is to change the company name and he continues conning people.Lesedi ni tranformation ya nne since his first company