Yeah, the criminals are busy planting and weeding. For shizzle
sani:
peasants watulie, Arror ako na mpango mzuri kwao.
umeona mpango ya ku depopulate prisons?
umesikia fununu prisons zinaondolewa kwa towns?
peasants watapewa accomodation na chakula ya bure huko Mui basin, wachimbe coal tupate cheap energy factories zetu ziamke graduates wapate job uchumi iende juu.
Wapi yes Rasta na leo Ni siku ya Bob Marley
To be fair, hata huku Ndeiya managu, spinach na sukuma are more than enough. Maembe pia ni mingi, so starvation per se is kaput…
nobert
May 13, 2023, 4:16am
24
To be fair, hata huku Ndeiya managu, spinach na sukuma are more than enough. Maembe pia ni mingi, so starvation per se is kaput…
So the determining factor is rain, which means if we utilize our fresh waters well and embark on serious irrigation WHO, USAID, IMF etc will be seeing us on viusasa?