izi details mingi hazifai. Ukifeed mtu huendi ukitangaza kwa soko[ATTACH=full]492990[/ATTACH]
wueeeh! :D:D:D
Niliskia akisema kwa nyumba ya mwendazake walipoenda kupeana pole ati watu wamove on juu serikali ya sasa hivi ni ya Ruto na wengine wakitaka wangoje hapo mbele waminyane kwa debe.
Huyu jambazi hana chills. Hii beef ako nayo na Uhuru anapeleka mpaka kwa matanga ya aliyekuwa waziri kwa serikali yake
Jangathi Muchelenyama
This man is a different sort of politician, a bare knuckle wrestler
Aibu wa rais