Gachagua crying tamu sana..haha

2 Likes

Arudishe mbuzi ya uhuru kwanza

Gachagua haezi lia. Yeye ni mwanabiashara ruthless sana, na hana ambitions za kuwa president, yeye hujali tu maneno ya biashara,