Gaaki mogaka Matiangi anaingia stet house

1 Like

Relax hakuna mtu akona akili anaweza pigia mkisii kura… he is being presented as a whack option so that Ruto reigns supreme come 2027. Hii ni game ya secretary general na chairman wa KANU. Tingisheni gidole hadi 2064.

1 Like

Jamaa aliishi kutumia prisoners kulima shamba zake akiwa CS

1 Like