G...G...G...G...G-unit

Was a hit.

https://www.youtube.com/watch?v=UDApZhXTpH8

https://www.youtube.com/watch?v=5qm8PH4xAss

Sisi ni watu wa karumaindo

Woooow memories are made of these hits. Got drunk so many times slurring words to their music. Whatever happened to Tony Yayo?

Sijui kama ni hii song where the explicit version Kuna topless chicks. Hii Ngoma ilichezwa Kwa nissan ingine ya route 111 ilikuwa inaitwa Ferrari circa 2006-2007. Hiyo time Nissan nganya had LCD screens in every seat. Seated beside me was some elderly woman akienda church. She was just shaking her head at the lyrics and hizo boobs on display. Mimi saa hiyo najifanya siko rada ya hizo Ngoma but nilikuwa nasafisha macho na hizo tirries fro from the corner of my eye

hizo siku maisha ilikuwa simple na ride ilikuwa enjoyable kwa matatu lakini siku hizi zimekuwa extreme unaingia ndani unachanganyikiwa juu ya giza na kelele, nikama uko dunia ingine anxiety inakupiga unajipata hata hujui stage ni wapi

I think pia ni kuzeeka. Late teens and early twenties hizo ndio zinakujazz. You grow older you appreciate peace and quiet