At times unafunga macho na kuamua “Bora fyatu…” badala ya “Fyatu bora”
[ATTACH=full]58894[/ATTACH] [ATTACH=full]58895[/ATTACH]
Hata Simbaland can do…
Inakaa umefyatuka
wats that.uko down sana.kwani wewe ni mkamba ama mkisii
Huyu ni mseh direct from Ocha and don’t be surprised hio kiatu aliuziwa bei ya original timbers. This things happens fam.
Kangumo lappa kangumo lappa x2 eheheh <—ring a bell
Viatu safi sana! Thanks!
Ama mnataka kusema ni vibaya tu kama vile Infinix?
Hapana tambua infinix… .chinku tingz
@Da Vinci asione hii
Hehehe!
Mwambie awache matharau, bwana! Hata matumbo yana haki ya kuitwa nyama, sio!