Fvck @meria mata......

Najua hii jamaa ya Kutoka Karandi imejitayarisha yake yoote. Kesho Ni muoto is fire is 97 degrees. Hata hapa,kijiji will come to a standstill. Jamaa imejipanga,after kufikisha mzigo Nairobi,iteremke Na Buzeki. Wakati hiyo tumelala.

Tukifungua macho hivi…ni thread yake inatusafisha mecho…JUBILEE NOMINATIONS OFFICIAL THREAD tena iwe pinned. The fvck!!!

Hii privilege iachiwe @Swansea or @Ruffneck or any other CORD/NASA/PENTAGON die hard. If nominations go well,they eat humble pie. If it backfires,they rejoice atleast once this year.

Ka thread kengine kakichomoka hivi kaa JP kanakuwa merged basita Na ya @Swansea

9 Likes

:D:D:D Sitakukanya kunitajataja juu wewe ni elder mzito. Una ruhusa kuntaja vile unataka, lakini jaribu unitaje in good light; kama ukiweka momo na laptop pia, unanitaja nije nisafishe mecho. Sandi sana mwami.

4 Likes

Tuwekee hiyo ka Thread kesho. Hii @Meria Mata imetulemea

4 Likes

Sawa mwami.

1 Like

He always beats me when it comes to putting up most explosive threads. Since I can’t beat him and I can’t join him,namharibia sasa.

5 Likes

Tulia VE bana, unachoma picha.

1 Like

Sawa. He is a very determined and dedicated dude this guy. You just have to love his spirit in life. Hatazeeka huyu.

5 Likes

Dadii Ata sijafika Kibwezi, ile mvua iko huku niya kaa siku za Noah, kesho morning right after afrojiri sacco hebu weka hio official thread na uambie watu wa UOTP wavute viti wajionee vile kura za primaries hupigwa

6 Likes

Wacha nimalize biashara hapa kwa ranch ndio tukague haya maneno. :smiley:

1 Like

Hahaa mzito niulize tu, Saa hii ndio umewasha data Kuingia ktalk, Ama ndio umeamka shift yako?
A time like now na new born I used to skive hadi kwa cuz nalala four hours mchana, simu ikiwa off

Nani ako kiambu I am told pesa inatembea kutembea. Sambasa Konyagi hata quarter.

1 Like

MM ni robot

Nobody is fvcking my dad tafasari

2 Likes