Further studies

Miaka kadhaa iliyopita after highschool ilibidi nijoin campus nchi ya nje jus across the border in Ug. On a Monday ndio ilikuwa departure at around 8pm na basi ya the extinct Regional bus so by 6pm nilikua tao jus to avoid noma za jam na inconviniences zingine huku nikiwa na kasuitcase kapienga vile me sipendi kubebanisha vitu ni ka nahama. Nilikuwa nimefika mapema so nikaamua nifike najmis nibugie chipo kuku na kebab kadhaa nishibe alafu nichukue the main course… Richot ilikuwa drink yangu nikiwa na kakitu so nikashika quarter mbili kwa wines flani hapo koja za kupunguza time safarini nikielekea land of “nyabos”. Nilijiseti kwa window na at 9pm safari ilianza na sijui kwa nini sijawahi kaa na kadame ni wamathee wazee anytime niko on a long journey…haithuru had my richot na chaser(red bull). Was excited mbaya had zile expectations za kukamua lanye was kiganda so all this time nilikuwa nimehipanga vilivyo mpaka kujua exchange rate ya kshs1 vs ugx25.

border ya busia kwa customs inspection and clearance passport ikastampiwa na nikabadilisha pesa around 5k nikapewa 125k za Ug lakini si kujua 100k ni imbo(fake).

to be continued

paragraph moja na unasema to be continued, wacha uzembe

3 Likes

una umama sana

hata ukiwa sv utapewa kiti

Chieth!.. chieth Opuk(kobe)

UG si nchi ya nje ng’ombe hii. UG ni Western.

2 Likes

bro nyinyi ndio mlikuwa mnapata 01 na 02 composition raima

sometimes hata zero na siringi.

Senior Villager heshimu cheo

Brarre fwakkin.
Maliza hekaya.
[ATTACH=full]66766[/ATTACH]

Cheza chini was merely testing the waters.