A wasted click…
kiti kama hio ni how much?looks very comfy
Sasa haka kananyambia kiti expensive hivyo?
from 500k Italian, fuck it’s comfy like hell bruh
Kiyana, weh kaa kwa ile kiti-moto umelelewa nayo! hii unayomezea mate itakufilizisha… na panya akipitia hapo! utajua haujui matambara ni bei ghali hivyo!