Kafriday kamenice nimepitia kwa mayengs fulani wamenikanda vizuuri imebidi nichafue meza. #FeelGoodFriday.
Hata picha ya meza hakuna
@Muchirii unasumbua
Hata thermal image ya wakandaji hakuna?
Cheki hii uongo:rolleyes:
https://cdn.cnn.com/cnnnext/dam/assets/120912045923-monkey1.jpg
enjoy
Kula hiyo mali dry fry
Hata picha ya hio uchafu mdau?
Hehe uko na ufwakin sana
[ATTACH=full]365478[/ATTACH]