Have just bought some nyama…when boiling, it’s producing a very funny smell…like how meat used to smell ikipikwa kama imeoshwa…nimefungua dirisha na milango…juu the smell iko ligi ingine.
The irony is, the meat is so soft…villagers, which game meat could I be enjoying?
Hata mimi kuna time nilishika nyama kama hio pale bama market…nyama ilikuwa na taste funny na soft design yake. Hio time in 2014, punda wengi ilisemekana walikuwa wanachinjwa na nyama zao kusafirishwa hadi mji mku wa Nairobi. Nyama iliiva nikaonja kamoja nikaamua siendelei nayo tena, Kuna kapaka fulani kalikuwa kanapiga patrol nkakarushia…haiukufa so ilikuwa safe for consumption but haikuwa ya ngombe.
But nowdays ive noted nyama haitest kama nyama tena…[ni za china]. Kenya is importing everything…