Funny shiet.. #STOLEN

Kulingana
na ile research nimefanya kidogo,kwa kila ploti
hapa Nairobi inakuwanga na demu atleast mmoja
msupa kuruka. Huyo demu hananga story na
watu wa ploti na zake akipita ni salamu tu ‘Hi’ ka
ameachilia smile ya kuua. Ukimwona nje labda ka
anaenda kwa loo,bafu,akichota maji ama ile time
anaingia au kutoka akienda job. Halafu kitu ingine
hao madem huwa hawaleti wanaume kwa
nyumba. Ye hukaa solo na ukihappen kuona
mwanaume ameingia kwake most probably
anakujanga ka ameandamana na demu
mwingine,na hawakai more than an hour
anawapea push wanaishia… Ploti yenye naishi
pia,haina any differencena zingine,iko na mrembo
ka huyo mmoja anaishi keja iko huko kwa kona.
Mi nimemaster time yake enye ye ni most likely
kupatikana nje,especially ile anaendanga bafu.So
nakuwanga around nikisorora hio figure huku
nikiwish tu hio towel amejifunga ianguke kibahati
mzuri hehehe Anyway,to cut this story short,jana
jioni kama kawaida nimetegea msupa pale nje
akitoka kwa bafu ka amefunga towel.
Akanismilia,akanipea ‘Hi’ design tofauti na siku
zingine hadi msee nikajua sasa ‘am almost
there’. Akaingia kwake nami nikarudi kwangu
nikijiuliza mbona nimeshindwa kudai namba na
hio mood jo. Manze niliji-jamia karibu nijipeleke
Police Station na nijireport juu ya hio ufala yangu.
Kidogo kidogo nikaskia mlango kuna mtu
ameknock…kwen da kufungua ni kamboch ka
neiba hapo nilinyandua like 2months ago but
tukakosana juu kalianza kudai doh ya madhake
ya chama,sijui mara siz yake mdogo amefukuzwa
shule,halafu nikikopa M-Shwari nimsort keshoe
naona amevaa weave mpya na amevaa heels hata
hajui kutembelea…yote tisa,I refuse to be a
sponsor at my age for that age!!! …Okay,sa huyo
mboch kumuuliza anadai aje akanisho,‘‘Laureen
amekwambia uende ukamchangie bulb yake
imeungua’’ Shiiet! Ni ka sikuskia poa but msee
nakwambia venye nichangamkia hio maneno acha
tu! Kabla ushangae,Laureen ni huyo demu msupa
malaika ya ploti hapo. Yaani venye steam
zilinipanda karibu niite msee wa nduthi anipeleke
kwake ki-VIP man! Kwani nitatambuliwa aje?
Nikajipiga marashi,kuchana nywele kiasi,mswaki
mara nayo na kwenda. Nikabisha kwa demu
halafu venye alitoka amevaa,ustake ona!! A very
clear(or is it light) nightdress…yaani zile za see
me through,no bra naona tu ‘NOON’ na
evening,chini hapo ni G-string inatoshana sticker!
Nikakaribishwa,kuangalia kumbe bulb yake
haijaungua! Hapo ndo nikajua hio ni ka set-
up,Laureen alishasoma signs namtakanga but
sijui kujiongea. Haidhuru,nikaona ameingia kwa
handbag halafu akatoa packet! Guess what was
in that packet??? Akanipea akismile na kunisho
hio ndo tunatumia. Taratibu nikafungua ile
packet,na hapo ndani nikapata kulikuwa na zile
bulb za kutoa rangi mob tofauti tofauti.Wenye
huenda kwa clubs wanazijua…ookay,nikatoa ile
enye ilikuwa halafu nikaweka hio mpya. Kuwasha
tu hivo,ikawa inatoa lights design Laureen
alionekana akiwa msexy 100 more times. Sasa
hio ndo ilikuwa the perfect light n atmosphere ya
kunyanduana jo! Nilistedisha ka fala hadi nashuku
pia ye alisense… After kumaliza akanisho niketi
kwanza apakue supper. Mi nikalegeza belt na
kutoa hadi shirt nikabaki na vest pekee ka msee
ako kwake,almost kuwekelea hadi miguu kwa
meza. Akaanza kuserve chicken na wali wa
pishori na vitu zingine mi huona kwa TV tu
zikifunzwa kupika. Sasa mi unajua nimezoea ile
madondo chafua ya kibanda,nikaanza kushikwa
na wasi wasi juu sijui ka tumbo itaniharibikia
nikila hizi vitu za wadosi. Kucheki,kitu
ilinishangaza akaanza kuserve food kwa sahani
tatu! Kabla tuanze kula akasema,‘‘Hunny,welcome
the dinner is ready’’.Nikasema ‘Thanks
beb’…Tena akarudia kwa sauti kidogo
tena,‘‘Sweetheart,c’mon the food is ready’’…mi
na kiherehere yangu nikaanza kumjibu,‘oh babe,I
can see you are a great cook and…’’ …Kabla
nimalize kajamaa kafupi kakatokea kwa kwa
pazia ya bedroom na kusema,‘Wow,what a great
meal you’ve prepared today darling!’ Ndugu
yangu sijawahi stuka hivo! Ile mguu ya kuku
nilikuwa nimeuma karibu ini-choke! Kabla niseme
kitu Laureen akaanza introductions,’ ‘Babe this’s
my neighbour Mark mwenye nilikuwa nakusho ule
mboch nilituma akamwite ni demu wake…and
Mark,this guy here is Steve. He’s my fiance,ni
venye ni mfupi hakuweza fikia pale juu kwa
ceiling kuchange bulb ndio nikakuita…’'…
…nimekuwa discharged hosi saa hii naambiwa
nilifaint katikati ya introductions…

9 Likes

:D:D:D:D:D

Quite a long read bila happy ending… punguza bangi ya petrol… ama ubadilishe peddler!!

Ah kumbe its stolen…

1 Like

Story tamu.

@Deorro KUJA ONA HII MAKENDE INARECYCLE STORY ULIPOST JANA,

1 Like

hahaha

RECYCLE CHIETH - [SIZE=1]@uwesmake slogan[/SIZE]

1 Like

Hehe…ish happens, story ni kusaka masolutions.:D:D

Hehe ktalk CSI, also noted huyu mujamaa kwa hekaya anaitwa Mark

ths thng imeshapostiwa huku…

Am going to kill someone…
For real!

Hekaya poa!! :D:D:D:D:D

Hii tulisoma juzi…WTF with Niccur

Time flani niko na dame keja yake, wakati anapika akani show niji bambe na computer yake nikitafuta video poa. Kidogo ameniambia kuna ka video anataka nione, ilikuwa zile vids za carnival za brazil, dirty dancing, ma boy wanagusa madem boobs, ameanza ku dutty wine on my crotch, nikajua leo nawai kitu. Food kuiva naskia amepiga simu akisema babes umefika wapi? In 5 min. boy wake akaingia, I swear I will never understand that lady, sikuwai msaka tena.

alafu ujue kamiti si ya…

Nyanyako?

1 Like

[ATTACH=full]16942[/ATTACH]

1 Like

You had a five minutes window ya kukamua ukalalia maskio kaa ndovu… :smiley: :smiley: :smiley:

3 Likes

no idea,you tell me

:D:D:D

Waste of my fucking time.