Funny Joke

Copied

Hii January Kumesota ukienda club unaitisha maji ya 50 kisha unaswing na kiti mpaka ulewe na kizunguzungu

Funny

1 Like

naona mlikuwa library moja na @Mathaais …

Hiyo joke rudishia mwenye ulicopy kwake:D:D:D:D
Mzito Le Coq is back!!! Bring on Chelschieth…i mean Burnley…

3 Likes

Mbona?

He is back in training?

Hizi jokes ni Facebook stuff…very stale and not funny at all tbh

1 Like

Eiiiish okay people nimewacha

1 Like

[ATTACH=full]28921[/ATTACH]

7 Likes

alikuwa na ingine from the same source mapema leo…

1 Like

Nimetoka class kuja hapa kumeboeka nikaona niudhi wasee tu kueni wapole akina @Mkufuu

:slight_smile:

Mwenye anasema ni stale atueke kitu fresh

2 Likes

hii laxima ni like

1 Like

https://media0.giphy.com/media/xf20D8HzvTQzu/200_s.gif

1 Like

I posted this on Sunday, wewe Mzee Dev rudi kwa cave.

1 Like

[ATTACH=full]28931[/ATTACH]

3 Likes

Sikuona, pole for stealing your thunder.

1 Like