Just step outside and take a pic alafu weka mbisha hapa.
Kabambe yangu haina camera
CC: @Da Vinci
Thriller…
That explains the high waves @ meria?
Niko nyali beach and loving the view
Waiting for @mukuna who is coming for his monthly dip
Safi jienjoy !
uko Masai MM? naja nyali in a few hours kulala-hapo Reef H
Kuja Kwa beach pale Kuna mugithi
Full moon = time to do something crazy
@Female Perspective , u game?
beach pande gani? wajua ni kubwa gathee
Nyali beach lakini twamalizia maasai, reef iko bamburi beach na pirates ni kenyatta beach
Mi niko Diaspora na sitasubua. Nitaokota slices under cover
naeza pitia Masai later,vaa helmet nikutambue
It’s a crazy night coz of full moon and that’s what i will do.
Leo imekubaliwa, kesho wenye kufagia beach watashangaa, hundreds of cds all over
Now I know why wifey has been a bit looney seeking threshold manenos all evening
Village lycanthropes, take the stage.
[ATTACH=full]53709[/ATTACH]
Kushika mnazi pole pole in full moonlight
sasa na hii mathitima ya nyairofi mutu hujua full moon ama empty moon
Mimi niko na emergency, kesho naenda county, okiya wekeya mimi tembo, mkono nitarudisha
Mimi niko na emergency, kesho naenda county, okiya wekeya mimi tembo, mkono nitarudisha