Gaaki nitafutieko visa nitoroke hii nchi
TUmepanga
TUmesema
TUmeweka mikakati
TUtafanya
TUtapunguza
TUtateremsha
TUtahakikisha
TUtarekebisha
TUmeondoa
TUmeongeza
TUmeongea na waziri
Vile Vile TUmetenga
Mwaka huu
Mwisho wa wiki hii
Kwanza wiki ijayo
Chini ya miezi sita
Kufikia mwezi wa Tisa
Kuanzia mwezi ujao
lies hamilton
Tax Verstappen
Tutaweka mikakati
Tutaboresha
Tutaimarisha.
Serikali hiiii, ni ya mama mboga, mtu wa bodaboda na na kila hasla…
Na bado mtanunua hayo mafuta tu. Despite the rapid rise in prices in the last 1 year, unaingia Nairobi bado unapatana na traffic jam. Unabaki ukishangaa ni wewe pekee huna hela za kuweka gari mafuta au kuna mchezo tofauti unaendelea.
His new nickname is “Next week”. Bure kabisa
Gari sasa na nyumba ya kuku. Bure kabisa. Ngombe ici
Na weekend unakuta watu wamejaa bar na mizinga unashtuka
Naskia nafaa kulipa 10k per year levy for my two jalopies yangu na ya family. Bado nalipa road levy, fuel levy, insurance levy, service levy, kwani tumekua leviticus?
Tutanyonga
Tutamwaga
Tutalala
Tutaamka
noma sana wadau