somewhere on your way to baringo sikumbuki the exact place, ilikuwa ka market tu kadogo
iko poa kabisa
:D:D:D
Hizi matusi nyinyi hutoa wapi ati wazi.
Hehe, Baringo msee? Huko sijui nitafika lini!
hiyo akala iko juu aki.
bikes, bikes, bikes
Gari ni weekends na long road trips
watu wa lodging hutokelezea bila kujua.
ION si nilisema juzi vile watu watawacha magari home. Najua tender-prenuer fulani anakuwanga na v8, juzi nimemwona na gari ya bibi.