Napigia Landlord simu ati ploti imefurika maji, ananiuliza kama nataka akuje aikunywe!!!
nimemwambia imebeba rent!!!
Itabidi nitoke huku Runda. A mosa deh
Napigia Landlord simu ati ploti imefurika maji, ananiuliza kama nataka akuje aikunywe!!!
nimemwambia imebeba rent!!!
Itabidi nitoke huku Runda. A mosa deh
weka sabuni kwa leaking pipe to seal shut.
u are a man. uko na mikono na akili pia
tenants mko na ujinga
hii tuliona sonko akihara kwa ndoo Shimo la Tewa
Vipi @Mosa de, Kwani ulihama Kasarani ukaenda runda?
Na hii rant imequalify kuwekwa kwa Sex and Relationships?..:meffi:
Hii joke tuliiona mama kayai akiwa vajo, before apate boll ya kayai
Buda aty kasa??? Unanistuanga sana ukinishow ivo… kwani unanijua
Kwani ma33 ni ya huu mtaa kweli wako wapi county washike hii kijana